Nadhani wengi tumekua tukishangazwa na costumes za Video za Mrisho Mpoto(Mjomba) hizo ni baadhi ya kazi za Makeke International,
Makeke Mshiriki wa Bongo style competition iliyofanyika mwaka jana Hapa Tanzania pia ameiwakilisha Tanzania katika maonesho mbalimbali ya ubunifu wa Mitindo,mojawapo ya maonesho hayo ni EAST AFRICA FASHION WEEK na Kufanya vizuri na collection yake alioiita
TABID:THE AFRICAN
BEAUTY IN THE DARKNESS (UZURI WA
AFRIKA ULIOFICHWA/ GIZANI)
JINSI YA KUPIGA KURA:
Kwa INSTAGRAM na TWITTER unaweza kupost picha hiyo juu au picha yoyote ya Makeke International na kuandika category pamoja na hashtags kama ifatavyo
DESIGNER OF THE YEAR (EAST AFRICA)
#ivotemakekeinternational
#Asfa2016Nominee
#Asfa2016
Au unaweza kuingia direct kwenye website http://abryanzstyleandfashionawards.com/myvote/ ukapiga kura yako.
HIZI NI BAADHI YA KAZI ZA MAKEKE

Blogger Comment
Facebook Comment