ABRYANZ STYLE AND FASHION AWARDS 2016: JINSI YA KUWAPIGIA KURA NOMINEES KUTOKA TANZANIA


All the way from Kampala Uganda,Tunakuletea list ya watanzania waliokua nominated katika mashindano ya Tasnia ya mitindo yalioandaliwa huko Kampala Uganda...Ni jukumu lako sasa kuwapigia watanzania waliopo katika categories mbalimbali ili tuzo hizi zitue hapa Bongo.

Jinsi ya kupiga kura...
Unaweza kupiga kura kwa kupitia social networks yan Instagram,twitter na facebook kwa kupost picha ya nominee kisha unaandika Jina la nominee na category yake pia unaweka hashtags zifuatazo
#ivote(jina la nominee)
#asfa2016
#asfa2016

mfano: #ivotemakekeinternationl
             #asfa2016
Pia unaweza kuingia direct hapa ABRYANZSTYLEANDFASHION AWARDS ukatupia kura yako.

List yenyewe ndo kama ifatavyo

EAST AFRICA FASHION DESIGNER OF THE YEAR
Wabunifu wa mitindo kutoka Tanzania waliopo kwenye category hii ni
Martin Kadinda (Tanzania)
Sheria Ngowi (Tanzania)
Makeke International (Tanzania)
Jamila Vera Swai (Tanzania)

MOST STYLISH ARTISTE  (EAST AFRICA)
Hapa tunao akina..
Males
Alikiba(Tanzania)
Diamond Platnumz(Tanzania)
Ommy Dimpoz(Tanzania)

FEMALES
Vanessa Mdee(Tanzania)
Aika Navy kenzo(Tanzania)

BEST DRESSED CELEBRITY
Males
Juma Jux(Tanzania)
Nedy Music(Tanzania)
Idris Sultan(Tanzania)

Females
Jokate Mwegelo(Tanzania)
Wema Sepatu(Tanzania)
Wolper Stylish(Tanzania)

OUTSTANDING MODEL OF THE YEAR
Katika kipengele hiki tunae Herieth Paul (Tanzania)

EAST AFRICAN RISING MODEL OF THE YEAR
Chammack Alaye Yambi (Tanzania)
Ben breaker (Tanzania)
Abel Kipaso (Tanzania)

MOST FASHIONABLE MUSIC VIDEO
Hapa zipo kazi mbili kutoka Tanzania
Niroge – Vanessa 
MdeeAje- Alikiba 

MOST STYLISH COUPLE
Hapa tunawakuta Zari  & Diamond Platnumz(Tanzania)  


STYLIST OF THE YEAR
JM International
Irfan Rizwanali
  
 

  

 
Share on Google Plus

About dr.joh health and wellness

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment