Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio la Miss Tanzania 2016..
.
Miss
Tanzania 2010 Genevieve Mpangala, Miss Tanzania 2015 Lilian Kamazima,
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu pamoja na Dr. Sebastian Ndege.
Christian Bella alialikwa kutoa burudani
Host alikua Jokate Mwegelo
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu
Top 5 ya Miss Tanzania 2016 ikiwa na Miss Tanzania wa 2015 Lilian Kamazima
Mshindi wa Miss Tanzania 2016 akivishwa taji na Lilian Kamazima Miss Tanzania 2015.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai
Top 5
Zawadi ya Miss Tanzania 2106
PHOTO CREDIT:MILLARDAYO.COM
Blogger Comment
Facebook Comment