MADE IN TANZANIA,MITINDO KUTOKA KWA WABUNIFU CHIPUKIZI

Tanzania imebarikiwa kuwa na wabunifu wa mitindo wenye vipaji,Lakini upatikanaji wa soko la mitindo yao imekua changamoto kubwa sana.Asilimia kubwa ya waTanzania hupendelea Mitindo kutoka nje kitu ambacho kimekua kikizinyima soko kazi za wabunifu wetu.
Ili kuinua tasnia ya mitindo hapa Tanzania inabidi tujivunie kazi zetu.

Leo nakuletea kazi nzuri kutoka kwa wabunifu wetu chipukizi.sio wengine bali ni ANDREW KALEMA na ANNA.Wabunifu hawa wote ni washiliki wa shindano la BONGO STYLE COMPETITION 2015 LILIKUA LIMEANDALIWA NA FASDO.Pia wabunifu hawa ni nominees kwenye tuzo za SWAHILI FASHION WEEK 2016 katika kipengele cha Upcoming designer of the year.

Tukianza na Andrew Kalema,Hili sio jina geni sana kwenye tasnia ya m itindo,ameshiriki katika maonesho mbali mbali,Moja wapo ya collections zake zilizofanya vizuri ni SOPHIA COLLECTION.

Kwa upande wa Anna yeye ni mtaalam wa masuala ya textile ambapo amehitimu shahada yake ya textile engineering pale mlimani yaani UDSM.

Hizi ni baadhi ya kazi zao ambazo zipo sokoni...
Unaweza kujipatia kazi hizi kwa kuwasilana nasi kupitia namba 0762167811.

ANNA DESIGNS 



ADREW KALEMA DESIGNS.
Why Sofia Name carry the whole collection?
"Sofia is my mother's name,she everything to me,in every step ahead she plays a vital role behind my talent,she used to tell me that nothing is impossible under the sun.Only needed to work hard,being punctual,have a desplineand respect everyone."-Andrew.
 












Share on Google Plus

About dr.joh health and wellness

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment