MWANAMITINDO JOCKTAN MAKEKE KUWAKILISHA TANZANIA KWENYE MASHINDANO YA TDWFS NCHINI AFRIKA KUSINI

Msanii wa mitindo ya KIAFRIKA kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekua tishio kwenye mitindo ya asili ya MWAFRIKA ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya mitindo nje na ndani ya nchi.kama unakumbuka mwezi wa saba mwanamitindo huyu alituwakilisha vyema jijini Nairobi na kuonekana mwanamitindo bora sasa

 
Mwanamitindo huyu ambaye ni mwanzilishi wa Kampuni ya MAKEKE AFRIKA C.LTD atapanda tena jukwaani mwezi huu nchini South Africa,JOCKTAN amesema kua sasa anakuja na collection nyingine mpya inayokuja kwa jina la TABID-THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS ambayo itaonekana kwenye jukwaa hilo la TDWFS-THE DESIGNERS WALK FASHION SHOW.

Share on Google Plus

About johanes tinga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment