THE RISE OF AFRICAN QUEENS, PROJECT INAYOLENGA KUTANGAZA VIPAJI VYA VIJANA KATIKA TASNIA YA MITINDO.

Kuna kauli isemayo mwanamke akiwezeshwa anaweza, kama ilivo kauli hio project hii imejikita zaid kumsaidie mwanamke hasa  mwanamke kwenye ndoto ya kuwa mwanamitindo wa kimataifa, Wazo hili lilikuja baada ya kuonawapo wanawake wengi sana wenye  vipaji na wana vigezo vyote vya kuwa wanamitindo bora wa hapo badae lakin wanakosa sapoti kuhusu wapi wataanzia na watafikaje level za kimataifa katika masuala ya mitindo
Project hii inahusu wasichana wenye  kuanzia  umri wa miaka 18 hadi 22
Project hii imeandaliwa na MAISHA STUDIO kampuni inayojihusisha na masuala ya upigaji wa Picha , na MAKEKE AFRIKA  kampuni ya mitindo ya kiasili.
 Ktika mahojiano na MITINDO PLUS BLOG Makeke alieleza kuwa...
"Kwa kila  mwezi  mmoja tutakuwa tukiwatoa watu wawili  ambao ni new faces, project hii imeanza na wasichana kwanza lakin hapo badae tutaendelea na THE RISE OF AFRICAN KINGS ambayo itakuwa kwa vijana wa kiume tu na mwisho tutamaliza na THE RISE OF AFFICAN KING & QUEEN hapo tutajumuisha vijana wawili kila mwezi, wa kike na wakiume"

Tunaamin kuwa project hii itakuwa ni fursa na mlango Mpya kwa vijana kwan hawatagharamika kwa kitu chochote na Picha zako zitasambazwa kwenye media zetu mbalimbali , pia vijana kushirili majukwaa mbaimbali ya mitindo , kitaifa na kimataifa.



























DESIGNER:JOCTAN MAKEKE.
PHOTOGRAPHY:MAISHA (LIGHT PALMER)
MODELS:QUEEN AND SHIFAH
Share on Google Plus

About dr.joh health and wellness

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment