Hiki ndicho alichokisema Idris Sultan Kumpongeza Miss World Tanzania LILIAN DEUS KAMAZIMA katika ukurasa wake wa Instagram.
Lilian amefanikiwa kuingia top 3 kwenye Beauty with purpose award, wakati taji la Miss world likienda kwa Miss world Spain.
A photo posted by Idris Sultan (@idrissultan) on