Pia msanii Diamond amepost kwenye ukurasa wake wa instagram hii picha ya mama yake mzazi akiwa amembemba princess tiffah.
Its a baby girl:Diamond na Zari wapata mtoto wa kike.
Diamond na Zari wapata mtoto wa kike Lattifah Naseeb Abdul.Taarifa kutoka kwa Meneja wa Diamond zinasema kua Lattifah amezaliwa Alhamisi japo hakuweza kuweka wazi ni wapi kazaliwa.
Pia msanii Diamond amepost kwenye ukurasa wake wa instagram hii picha ya mama yake mzazi akiwa amembemba princess tiffah.
Pia msanii Diamond amepost kwenye ukurasa wake wa instagram hii picha ya mama yake mzazi akiwa amembemba princess tiffah.
Blogger Comment
Facebook Comment