11/04/2014

Top Model of The World 2014:Niler Bernard aibuka nafasi ya sita

Mshiriki Kutoka Tanzania Niler Bernard ameshikiria nafasi ya sita katika shindano la Top Model of the World 2014 lililofanyika Misri.Mshindi wa kwanza ni Mshiriki kutoka El Salvador,wa pili ni mshiriki kutoka Italy na wa tatu ni mshiriki kutoka China,

                                            Niler Bernard