Lulu : Kurasa Mpya ( The curse of early fame)

 

Being a childhood celebrity seems to be both a blessing and a curse, as many children who find fame at an early age find nothing but trouble katika maisha yao ya baadae.
Elizabeth Michael “lulu” ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake duniani akiwa ndani ya kiwanda cha burudani. From being just another kid trying her luck in the industry mpaka kuwa one of the biggest and talented actress in Tzee movie industry. Katika jarida la tano la vibe lulu ameeleza ilivyo ngumu kuwa maarufu kwenye umri mdogo without proper guidance , dealing with foolish age stage, mahusiano yake na Hayati steven kanumba, kukaa jela, pamoja na kesi yake and how she deals with it.
lulu ana zaidi ya miaka 10 tokea aingie kwenye sanaa na hivi ndivyo alivyoelezea hali hiyo. ” Yeah,i can say ulikua uamuzi sahihi coz ni kitu ambacho nafsi na akili yangu kwa pamoja vilipenda mimi

kuingia kwenye sanaa, Pamoja na yote niliyopitia sijawahi kujuta kufuata ndoto zangu, kuwa muigizaji ni kitu ambacho nilikipenda then, na ndio kitu kinachoniendeshea maisha yangu sasa na familia yangu. Pia kukua in the industry kumenijenga kuwa muigizaji bora zaidi, kumenifanya niyazoee maisha ya sanaa na kunipa uzoefu zaidi”
Kujua mengi zaidi kutoka kwa lulu kajipatie copy yako ya vibe magazine, bado lipo mtaani…
Share on Google Plus

About dr.joh health and wellness

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment