07/04/2014

KANUMBA DAY DAR LIVE

KANUMBA MEMORIAL DAY  itafanyika leo  tarehe 7/4/2014 katika ukumbi wa Dar Live mbagala. Tiketi zitapatikana kwa Shilingi 2,000 kwa watoto wadogo Shilingi 10,000 kawaida na viti maalum vitakuwa Shilingi 50,000.  Tiketi zitapatikana Global PublisherS, Tabata sheli duka la Smart Fashion,Vanne Fashion tabata shule,Ofisi za Kanumba the great film pale sinza meeda na Dar Live.

kutakuepo na mastaa wa Bongo Movies, Bongo Fleva, Taarab na Dansi huku mgeni rasmi Meya wa Ilala, Jerry Slaa.